July 20, 2008

Foleni mtaa wa Msimbazi

Tatizo la Foleni katika baadhi ya mitaa ya jijini Dar es Salaam abado ni kikwazo kwa shughuli mbalimbali za kukuza uchumi wa taifa, pichani ni magari yakiwa katika foleni barabara ya Msimbazi.

No comments:

Post a Comment