Meneja Matukio wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Rukia Mtingwa akiwasiliana na Mshindi wa Tuzo Droo katika mchezo wa kumi na tatu uliofanyika katika maonyesho ya 32 yanayoendelea katika viwanja vya SabaSaba ambapo Agano Ngairo mkazi wa Mbozi Mbeya mwenye namba ya simu 0756-779762. alishinda Shilingi milioni moja kushoto ni msimamizi wa Bodi ya Michezo ya kubahatisha nchini Mrisho Millao.
No comments:
Post a Comment