KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
June 20, 2008
Voda yakabidhi sh milioni 40
Meneja Matukio na Promosheni wa Vodacom Tanzania, Rukia Mtingwa (kulia) akikabidhi sh. milioni 40, kwa mshindi Al-Karim Daudi katika hafla ya kukabidhi hundi iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Hello Hivi Rukia ni yupi hapa..
ReplyDeleteHakikini kazi zenu kabla ya kuzipost!!