KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
June 29, 2008
Vidosho wa Temeke hawa hapa
Vimwana wanaowania taji la Miss Temeke 2008 wakiwa katika kambi yao ya mazoezi iliyopo katika ukumbi wa TCC Chang'ombe Dar es Salaam wakijifua chibni ya mwalimu wao Jocate Mwegelo. Shindano linataraji kufanyika Julai 7, 2008.
Sasa Fr. Kidevu naomba msaada wako nami nakata kutunza ngozi yangu iwe kama hao warembo naomba wakupe siri ya urembo wao, wanakula nini, anapaka nini nk. Wamependeza kweli.. rangi ya ngozi yangu ni kama Jokate but sio smooth kama yake please ask her
Eee bwana Mrocky ee,
ReplyDeleteNaomba contacts za huyo Namba 8 tafadhali.
Duh! Analipa!
Sasa Fr. Kidevu naomba msaada wako nami nakata kutunza ngozi yangu iwe kama hao warembo naomba wakupe siri ya urembo wao, wanakula nini, anapaka nini nk. Wamependeza kweli.. rangi ya ngozi yangu ni kama Jokate but sio smooth kama yake please ask her
ReplyDeleteDada hapo juu nakushauri unywe maji mengi. Maji ndio dawa ya ngozi tosha na wala si vipodozi vipodozi ni kama nyongeza tu ya kulinda ngozi.
ReplyDelete