KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
June 18, 2008
Tuhuma za uhalifu
Muuza magazeti wa mtaa wa Samora jijini Dar es Salaam (kushoto) akihojiwa na Askari Kanzu juu ya baada ya kutuhumiwa kuhidahi mali ya wizi katika eneo lake la biashara.
No comments:
Post a Comment