KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
June 17, 2008
Maji haya hadi lini?
Mkazi wa kijiji cha Mkonze kilichopo nje ya mji wa Dodoma akichota maji katika kisima alichokichimba katika mto Mkonze uliokauka hivi karibuni.Kijiji hicho Kinakabiliwa na Uhaba wa maji safi na salama.
No comments:
Post a Comment