KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
June 13, 2008
Madaraja ya Barabara ya Dodoma-Iringa
Moja kati ya Madaraja yaliyopo katika barabara ya Dodoma-Iringa mjini Dodoma yakiwa hayana kingo jambo ambalo ni hatari kwa usalama wa watumiaji wa barabra hiyo.
Kaka umeingia huku kwa kishindo nakuaminia.
ReplyDelete