June 14, 2008

Dodoma kuwa na mnara wa aina yake

Mnara mpya unaojengwa na Mamlaka ya Ustawishaji wa Mji wa Dodoma na Vodacom uliopo katika makutano ya Jamatini mjini hapa. Mnara huu iwapo utakamilika utakuwa ni manara wa aina yake kwa ukanda wa afrika Mashariki.

No comments:

Post a Comment