Nafasi Ya Matangazo

May 01, 2024





Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati wameshiriki maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani tarehe 01 Mei, 2024.

Maandamano hayo yalianzia katika viwanja vya Bunge na kuhitimishwa katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. 

Maadhimisho hayo maarufu kama Mei Mosi kwa Mwaka 2024 yamebebwa na Kaulimbiu ya  *”Nyongeza ya mishahara ni msingi wa mafao bora na kinga dhidi ya hali ngumu ya maisha”*
Posted by MROKI On Wednesday, May 01, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo