Nafasi Ya Matangazo

March 21, 2016

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mawakara wa Forodha na Bandari kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Machi 21, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiingia kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dares salaam kuzungumza wawakilishi wa Mawakala wa Forodha na Bandari  kwenye ukumbi  wa Karimjee jijini Dar es salaam Machi 21, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akipekuwa baadhi ya nyaraka zinazoonyehsa jinsi wizi wa fedha za serikali  uliofanywa kwenye  bandari ya Dar es salaam ukihusisha mabenki wakati akizungumza na  Mawakala wa Forodha na Bandari kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Machi 21, 2016.

Baadhi ya Mawakala wa Forodha na Bandari wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salam Machi 21, 2016.

Kamishina  wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, (TRA), Alphayo Kidata akitoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali zilizozuka katika mkutano kati ya Waziri Mkuu na Mawakala wa Forodha nchini.
Posted by MROKI On Monday, March 21, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo