Nafasi Ya Matangazo

June 08, 2015

wa kwanza kushoto ni Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira; akiwa ndani ya ofisi za CCm mkoa wa kilimanjaro wakati alipoenda kuomba kuthaminiwa na wananchi  ili kuweza kupata nafasi ya kugombea nafasi ya Urais kati kati ni mwenyekiti wa mkoa wa kilimanaro Deogratius  Luta kulia ni katibu wa ccm mkoa huo Idd Juma Mohamed

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira akiwa anaongea na mmoja wa kada wa ccm aliyejitokeza kumdhamini
 waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Stephen Wasira akiwa anaongea na wananchi waliojitokeza kumthamini katika mkoa wa Arusha,picha na woinde shizza

Posted by MROKI On Monday, June 08, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo