Nafasi Ya Matangazo

September 13, 2014

 Sehemu ya mbele.
 ENEO: Nyumba ipo  PUGU-Umbali wa  mita 100  toka  Barabara Kuu ya lami. Nyumba  3 za familia zipo ndani  ya  eneo  moja  kila  moja  inajitegemea.
 
UKUBWA: Kila  moja  ina vyumba  3 vya kulala, jiko, siting room kubwa na daining ya kutosha.
 
UMEME:  Kila  moja  inatumia  Mita  ya Luku kwa kujitegemea.  pamoja  na  maji.

 PAKING:  Eneo kubwa kwa zaidi ya magari 5 kwa wakati mmoja.
BEI.  Ni maelewano kuanzia miezi  miezi  6  au zaidi kutegemea hitaji la mteja.

 kwa mawasiliano: 0686-569999
     Wako  katika makazi bora na ya kisasa. 
Posted by MROKI On Saturday, September 13, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo