Nafasi Ya Matangazo

October 31, 2011

 Mwanzilishi na Mmiliki wa Blog ya 8020 Fashions,Shamim Mwasha a.k.a Zeze akizungumza wakati wa hafla hiyo ambayo ilihudhuliwa na wadau mbali mbali na kufana sana.
 Mgeni Rasmi katika hafla hiyo ambaye ni Mbunge wa Viti Maalum wa CCM,Mh. Angelah Kairuki akiwa na Da' Shamim Zeze na wadau kwenye Red Kapet.
 Mc wa Shughuli hiyo,Dina Marios (kulia) akizungumza na Da' Shamim Mwasha wakati wa hafla hiyo iliyofana sana na kupendeza.
 Wadau Mbali Mbali walijitokeza kumpa tafu Da' Shamim Mwasha katika hafla ya Besdei ya kuzaliwa kw Libeneke lake la 8020 Fashions Blog kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee V.I.P Hall,jijini Dar 
  Mgeni Rasmi katika hafla hiyo,Mbunge wa Viti Maalum wa CCM,Mh. Angelah Kairuki akimlisha kipande cha keki Da' Shamim Mwasha.
Blogu ya Father Kidevu inampa pongezi sana Bloger Shamim Mwasha wa 8020 kwa kuadhimisha 5 ndani ya 50 ya Uhuru wa Tanganyika. Bloga Tumeweza, Tumethubutu, Tunasonga mbele.
Posted by MROKI On Monday, October 31, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo