Nafasi Ya Matangazo

July 30, 2011

 Redds Miss Ilala 2011, Salha Israel akipunga mkono baada ya kutawazwa mshjindi wa Taji hilo alfajiri ya Julai 30, 2011 katika onesho lilifanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Redds Miss Ilala 2011, Salha Israel (katikati) akiwa na Mshindi wa pili Alexia William (kushoto) na Mshindi wa tatu Jenifer Kakolaki baada ya warembo hawa kutangazwa washindi na wote kuingia katika kambi ya Vodacom Miss Tanzania itakayofanyika mapema mwezi ujao.
Afisa udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude akimpongeza  Redds Miss Ilala 2011, Salha Israel baada ya kuibuka mshindi katika shindano hilo.
 Warembo walifungua kwa shoo kali na wengine utadhani wanaruka kijoti....
 ukafika wa wakati wa kupita na kivazi pendwa kwa mashabiki na wapenzi wa urembo...kivazi cha ufukweni ambapo warembo wote 14 walipita na kivazi hicho.
 warembo wakijinadi kwa vazi la ubunifu...
 Meza ya majaji ikiwa kazi katika kutafuta mshindi wa shindano hilo...
 ulikuwa ni wakati wa warembo kuonesha vipaji vyao na huyu alitinga na joka...ambalo hata hivyo alikumpa maxi za kutosha.
 Wanne star alikuwepo kuhakikisha burudani ya asili ya mtanzania inakuwepo.
 Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania Prashant Patel (kushoto) akifuatiwa na Miss Tanzania 2010, Genevieve Emmanuel nao walikuwepo meza kuu.
 Wanenguaji wa Bend ya African Stars wana wa Kutwanga na kupepeta nao walikuwapo kutikisa.
wadau wakila pozi mbele ya Caera yangu ilikujipatia taswira ya kuirusha kama hivi.
Posted by MROKI On Saturday, July 30, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo