Nafasi Ya Matangazo

March 16, 2011

Mwanamitindo Mtanzania anae kuja kwa kasi katika Ulimwengu wa Mitindo, Flaviana Matata (pichani kulia) ameshinda Tuzo ya "Model of the Year award itolewayo na jarida la Arise Magazine Lagos Fashion Week.

Huu ni mwaka mzuri kwa Flaviana ambaye amekuwa akipamba tahariri za majarida mbalimbali ya urembo huko mbele likiwemo  Dazed & Confused, Glass Magazine, L'officiel na hivi karibuni atotokea katika jarida la ID.

Pia amekuwa akishiri katika maonesho ya mavazi mbalimbali ya wabunifu mashuhuri akiwepo Vivianne Westwood, Tory Burch, Suno, na Louise Gray pia ameshiriki katika filamu ya Alexander McQueen na Topshop Spring 2011.
Posted by MROKI On Wednesday, March 16, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo