Nafasi Ya Matangazo

June 24, 2009

Mkazi wa Olegilai mkoani Arusha ambaye ni mlemavu wa macho, Jonas Gabriel (kushoto) akikabidhi boxi lililo na fedha sh 224,000/= kwa Mgeni Rasmi, Mgurugenzi wa Usimamizi wa Rasilimali wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Goodluck Ole Medeye alizochangiwa na waumini wakati wa harambee ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa la Anglikana Usharika wa St Paul Olegilai mkoani Arusha juzi. Katikati ni Mchungaji Kiongozi wa Kanisa hilo, Stanley Hotay.
Kwaya Kuu ya Kanisa Aglikana Usharika wa St Paul, Olegilai mkoani Arusha ikiimba wakati wa Harambee ya kuchangisha fedha kwaajili ya ujenzi wa Kanisa hilo juzi.
Goodluck Ole Medeye akikata nyama iliyotengenezwa kwa heshima kubwa kwaajili ya mzee.
Mgeni Rasmi Goodluck Ole Medeye akikabidhi hundi mbili zenye thamani ya sh milioni 7.9 kwa Mchungaji Kiongozi Stanley Hotay.
Mnada wa vitu mbalimblai ulifanyika na jumla ya sh milini 76.6 zilipatikana kati ya milioni 200 zilizokuwa zikihitajika.
Posted by MROKI On Wednesday, June 24, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo