January 06, 2010

Wanahabari kazini

Kundi la Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali akiwemo wa Gazeti la Habarileo , John Nditi, ( wapili kushoto waliosimama chini ) pamoja na Nickson Mkilanya wa Star TV na Redio Free Afrka wakijiandaa kupanda kiberenge kuelekea kilometa zaidi ya 10 toka mjini Kilosa , njia ya reli ya kati kulekea eneo liliposombwa na maji darala la reli katika Mto Mkondoa , usiku wa mkesha wa mwaka mpya.

1 comment:

  1. Safi sana Mkilanya, strike wangu shani veterans.

    ReplyDelete