January 04, 2010

Amiri na Miriam walipomeremeta

Mhariri wa Michezo gazeti la HabariLeo, Amir Mhando akiwa mwenye furaha baada ya kufunga ndoa na Bi.Mariam Nassor huko Pemba hivi karibuni na kufanya tafrija kubwa jijini Dar es Salaam juzi.
Maharusi Amiri Mhando na Mariam Nassor wakiingia ukumbini.

2 comments:

  1. mhhh jamani kupamba gani huko??? mtoto mzuri lakini kaonekana kama jini??? wapambaji muwe makini. hongera maharusi

    ReplyDelete
  2. yaani bi harusi hayo ma-make up mbona ugomvi toba hukujiona kwenye kioo nini yaani umekuwa kama umevaa mask lo, but nawatakia maisha yenye furaha

    ReplyDelete