December 30, 2009

Mary Naali amkabidhi JK Mwenge wa Malkia.

Mshindi wa Medali ya Dhahabu, Mwanariadha Mary Naali akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete Mwenge wa Malkia katika viwanja vya Ikulu Dar es Salaam jana baada ya kuukimbiza kwa kilometa 12.4 kutoka Uwanja wa Uhuru.

1 comment: