KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
August 31, 2009
JK alipofuturisha viongopzi wa dini
Rais Jakaya Kikwete akiagana na Askofu Method Kilani wa jimbo kuu la Dar es salaam. Mama Salma Kikwete akiagana na akinama awaliohudhuria futari hiyo Ikulu.
Mwee hivi jamani rais wetu ana matatizo gani?? Yaani yeye ni kutanua tu sasa na hivyo vigift bags ni vyanini??
ReplyDeletenadhani hicho kilikuwa dinner na sio futari kwani kuwa wengine hawakufunga...
ReplyDeleteau sio kweli?