KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
August 17, 2009
Illuminata huyoooo
Ilikuwa ni onesho maalum la vazi hili.
Miss Univesy Tanzania 2009, Illuminata Wise, bado anajaribu bahati yake huko Bahamas tuzidi kumpigia kura na kumuombea dua ashinde.
Saafi brother.
ReplyDeleteHaya ndio mambo tunayoyataka humu.
Keep itup