KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
August 21, 2009
Ajali
Ajali ya gari dogo lililopindika katika mkeka mpya wa Mandela katika kituo cha External Dar es Salaam majira ya saa 12:25 usiku watu. Wakzi wa External wakiangalia gari hilo baada ya kulinyanyua.
We Mrocky we usituyeyushe hapa.
ReplyDeleteSaa 12.25 usiku au saa 6.25 usiku?
We vipi wewe?