KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
July 05, 2009
DJ wa Mlimani Redio akiwa kazini.
DJ G wa Redio Mlimani akifanya vitu vyake leo katika Banda la Maonesho ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. DJ G yupo mwaka wa pili katika Taasisi ya Habari na Mawasiliano ya Umma (IJMC).
Hawa redio Mlimani walikuwa wakisikika mtandaoni mwaka 2007, ni kitu gani kilitokea hadi wamepotea hivyo? Tadhali Father Kidevu, ukiwaona tena hawa wahusika, wakumbushe kuhusu kufufua redio yao ya mtandao na pia kusoma barua pepe zao. Asante.
Hawa redio Mlimani walikuwa wakisikika mtandaoni mwaka 2007, ni kitu gani kilitokea hadi wamepotea hivyo? Tadhali Father Kidevu, ukiwaona tena hawa wahusika, wakumbushe kuhusu kufufua redio yao ya mtandao na pia kusoma barua pepe zao.
ReplyDeleteAsante.