July 27, 2009

Ajali ya Tanga

Wakazi wa korogwe3 wakiwa eneo la tukio ambapo basi la Mohamed Trans liligongana na Lori la mizigo na kuuwa wati 28 jana.
Basi la Mohamed Trans baada ya ajali.
Watu wakiwa katika eneo la ajali.

1 comment:

  1. AnonymousJuly 27, 2009

    "Duh, hayo magari yalivyopondeka! Inaelekea walikuwa spidi sana maana ajali ilikuwa mbaya sana, hao waliopona kwa kweli wamshukuru Mungu mno."

    ReplyDelete