June 19, 2009

Nyama Mnadani Dodoma

Nyama za mbuzi zikiwa zinauzwa katika mnada wa Msalato mkoani Dodoma.

Watalaam wa uchomaji nyama wakiwa kazini mslato.
Hapa ilikuwa ni kutafuna tu.
Wal;iopenda vitu vya kupika walifika hapa na kujichagulia.
Mama Muuza yaleo vipi...
Burudani wakati wa kupata kinywaji mkoani Dodoma.

1 comment:

  1. AnonymousJune 20, 2009

    He jamani, nimetamani sana nyama choma hizo hadi mate yananitoka. Kumbe Msalato siku hizi kuna mnada zamani wakati nasoma Msalato miaka ya 1996 hakukuwa na mnada wa nyama choma, ungekuwepo zingenikoma.

    ReplyDelete