May 21, 2009

DECI nyingine ya Malingumu yaanza utata

Wakati Maelfu ya wakazi wa Dar es Salaam wakiwa hawajapona jeraha la DECI, Wakazi wa Ukonga na maeneo ya Jirani nao walio kuwa wakipanda mbegu katika taaisia ya Malingumu Investiment walifurika jana kudai fedha zao walizokuwa wakipanda kwa kuahidiwa kupewa mikopo kuingia mitini.

3 comments:

  1. Na bado, taasisi kama hizi zipo kibao, wananchi nao bado hawazinduka kuwa wananyonywa!

    ReplyDelete
  2. Yaani we Mroki leo ndo unafufuka baada ya miezi kadhaa ya kunyuti?

    Mie nilidhani UMEKUFA kwenye MABOMU ya MBAGALA!

    Kama bulogi imekushinda ifunge!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 21, 2009

    ebwana kweli inabidi utuombe msamaha wasomaji wako dah

    ReplyDelete