KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
June 19, 2008
Vimwana wa Sinza Haooo
Baadhi ya vimwana wanaotaraji kupanda jukwaani keshho katika Ukimbi wa vatcan Sinza kuwania taji la Miss Sinza 2008 wakiwa katika picha ya pamoja katika kambi yao ya mazoezi vatcan Sinza.
Mbona vibonge bonge sasa
ReplyDeletewatatu kutoka mbele mzuri ila mnene au mfupi ndio tatizo lake tu
ReplyDelete