Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amewasili Mkoani Arusha leo tarehe 30 Aprili, 2024 ambapo anatarajia kushiriki maadhimisho ya Sherehe ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) kesho tarehe 1 Mei, 2024. Dkt. Tulia amepokelewa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Makonda. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulevamu), Degratious Ndejembi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulevamu), Degratious Ndejembi (Kulia) akizungumza jambo.
.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulevamu), Degratious Ndejembi (Kulia) akizungumza jambo.
.
0 comments:
Post a Comment