June 03, 2016

UKIUKAJI WA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

Kijana mkazi wa Mkoani Mara akiwa amening'inia kwenye Hice namba za Usajili T775 CUB linalofanya safari kutoka Musoma kwenda Bunda jambo ambalo linaweza kuhatarisha usalama wa maisha yake. Pia ni kosa kwa dereva wa gari hilo kupakia abiria katika mfumo huo kwani anakiuka sheria za usalama barabarani.
Kijana huyo akiwa amedandia kari katika barabara kuu ya Musoma-Mwanza

No comments:

Post a Comment