November 12, 2013

MREMA KUZIKWA KIRARACHA KESHO

Katibu wa Bunge,Dr. Thomas Kashilila anasikitika kuwataarifu kifo cha mtumishi wa Ofisi ya Bunge ktk idara ya shughuli za Bunge, Mkurugenzi Msaidizi Ndg. Anselm Lyatonga Mrema kilichotokea usiku wa tarehe 10.11.2013 ktk hospitali ya mkoa, Dodoma.

Ofisi inaendelea na taratibu za mazishi kwa kushirikiana na familia ya marehemu, na mazishi yatafanyika tarehe 14 Novemba 2013 Kiraracha Marangu Moshi mkoani Kilimanjaro.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. Amen!

No comments:

Post a Comment