Nafasi Ya Matangazo

September 27, 2025

Chama cha Ukombizi wa Umma (CHAUMMA) kineendelea na kampeni zake za kusaka nafasi ya Kiti cha Rais wa Jamhuru ya Muungano wa Tanzania Ububge na Udiwani katika maeneo mbalimbali nchini waliyowasimamisha wagombea. 

Wakati Mgombea wa Kiti cha Rais kupitia CHAUMMA, Ndugu Salum Mwalimu akiwa huko Itenzi Wilaya ya Mbeya Vijijini Mkoani Mbeya Mgombea Mwenza yeye alikua Muheza mkoa i Tamga.


Akiwa Wilayani Muheza, Mgombea Mwenza wa CHAUMMA, Ndugu Devotha Minja yeye mbali na kunadi sera za Chama hicho na kusikiliza kero za wanchi lakini pia aliwananadi madiwani na Mbunge wa Muheza Mjini

Devotha katika hadhara hiyo alimnadi Mgombea Ubunge wa Muheza, Yosepha Komba katika kampeni hizo.




Posted by MROKI On Saturday, September 27, 2025 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo