Haya wadau wa KCMC waliopo katika Mradi wa Malaria, big up kwa kukimbia na kupiga vita malaria.
Wadau wa Kili FM 87.5 wakiwa kazini kutangaza moja kwa moja mashindano hay ya riadha ya Kilimanjaro Marathon leo.
Manka nae alikukwepo... hapa akinionesha fulanaz ya HabariLeo ambayo alitinga kabla Vodacom hayajaifunika logo.
Wadau hawa wa mtoni nao waliomba niwapachikea mtandao huko nao waone kuwa walikimbia.
Mdau Mwami wa Vodacom akiwa na wifi zake kabla ya kuanza kutimua mbio.
Mafuru wa Vodacom (kushoto) akiwa na vijana wake wa Moshi.






Moshi iko juu siku hizi
ReplyDeleteKilimarathon inaonekana ilifana sana tunaomba Fr. Kidevu next year tujulishe mapema maandalizi na tarehe nasi tuje hongerani mliokimbia
ReplyDelete