Nafasi Ya Matangazo

August 31, 2009

Rais Jakaya Kikwete akiagana na Askofu Method Kilani wa jimbo kuu la Dar es salaam. Mama Salma Kikwete akiagana na akinama awaliohudhuria futari hiyo Ikulu.
Akiagana na viongozi wengine
Furati iliandaliwa Ikulu Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Monday, August 31, 2009 2 comments

PRESS RELEASE



31st August, 2009


INTRODUCING ELITE MODEL LOOK -TANZANIA Compass Communications Company Limited introduces the largest and most prestigious modeling international competition in the world - Elite Model Look. Compass Communications Company Ltd is an independent TV production company that produces various TV programs and also is the organizer of Miss Universe Tanzania and other beauty pageant titles like Miss Earth, Miss International and Miss Tourism Queen International in Tanzania. The company has now branched out into a more specialized part of the industry namely professional modeling.


Elite Model Look contest was created in 1983 under the name Look of the Year. Elite Model Look competition is the largest model contest of its kind. This contest has become one of the most prestigious springboards for talents into the modeling industry. Up to now Elite Model Management is present in 5 continents and it represents more than 2,000 (Two Thousand) models internationally.


Each year, the Elite Model Look competition sees over 350,000 contestants attend regional and national castings that take place in more than 55 different countries, with at least one contestant of each country participating in the main event - the World Final..


The competition is made of several steps. Thus, through an intensive and rigorous selection process, which drives them from regional castings to national finals, at least one local contestant of each country gets a chance to participate in the World Final.


Here in Tanzania Compass Communications will hold local auditions in Dar-Es-Salaam : where all applying contestants will be narrowed down to 10 to 15 semifinalists. No final event will be held this year in Tanzania and the 10 - 15 semifinalists will then be judged by a panel of judges including a representative from Elite Model Look headquarters in Paris, France, in order to find the Tanzanian model who will represent Tanzania in the World Finals in October in Sanya, China.


All girls are invited to make their dreams come true by participating in auditions of Elite Model Look Tanzania. The auditions are open to strictly girls aged 14 to 20 years, with the minimum height of 172 cm. The winner will be selected to meet the fast changing trends and needs of the fashion industry.
She will be chosen based on photogenic quality, personality and natural beauty. From the approximately 70 finalists at the World Finals, 15 are chosen by an international panel of judges and they all sign an exclusive contract with Elite Model management. And out of the 15 luck ones, 3 are voted as winners.
The top 3 winners will share a guaranteed remuneration of 325,000 USD in total as modeling contract. This is the first time for Tanzania to hold the license and to select a finalist for Elite Model Look although in 1999 Miriam Odemba was selected and participated successfully in the Elite Model Look World Final in Nice, Paris through MNet Face of Africa.
For more information kindly contact Maria Sarungi Tsehai OR Mwanakombo Salim, Compass Communications, Tel: (022) 2182405, 2182596 Mob: 0784 305122
Posted by MROKI On Monday, August 31, 2009 No comments

August 28, 2009

For more information visit http://www.cultureandglobalization.info
Posted by MROKI On Friday, August 28, 2009 1 comment
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwalimu Francis Temba (kushoto) ambaye alimfundisha Kiingereza darasa la STD III na IV katika shule ya Msingi ya Kibaoni Wilayani Mpanda. Pinda walikutana na mwalimu wake huyo baada ya kuzungumza na viongozi wa CCM Mjini Mpanda wiki iliyopita. Katikati ni Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Daniel Ole Njoolay.

Hakika walimu kama hawa ni muhimu sana kuwakumbuka kama wapo hai na wananguvu kama huyu wa Pinda ambaye bado ni kijana.
Posted by MROKI On Friday, August 28, 2009 1 comment

August 27, 2009

Mlinda mlango wa timu ya taifa ya Vijana U 17, Salleh Ali akidaka mpira langoni kwake huku mshambuliaji wa Ethiopia, Abdelkarim Hassen akiusubiri umtoke. Nyuma ni Hassan Hamisi akimlinda.Timu hizo zilichuana juzi katika mchezo wa kuwania Kombe la Chalenji la Afrika Mashariki na Kati, Tanzania ilishinda 1-0.
Mchezaji wa timu ya taifa ya vijana chini ya mika 17 Hamisi Thabititakijaribu kuwatoka walinzi wa timu ya Ethiopia, Tefesse Solomon (kulia). Thabiti aliiwezesha timu yake kushinda 1-0 dhidi ya Ethiopia.
Taarifa zilizotufikia hivi punde zina pasha timu ya Zanzibar imetupwa nje ya mashindano hayo baada ya kufungwa goli 2-1 na Elitrea katika mchezo wao wa Robo fainali.
Posted by MROKI On Thursday, August 27, 2009 No comments

Umahiri wa Trafiki huyu unanikumbusha enzi ya mayenu pale Ubungo. Ila madereva wa bongo lazima wakutoe utumbo.

Posted by MROKI On Thursday, August 27, 2009 1 comment
kifaru cha kurushia makombora. Vifaa mbalimbali na silaha vinaoneshwa kwa wananchi ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya JWTZ kutimiza miaka 45.
Bomu hili kwa limebatizwa jina MBAGALA, maana ni kama yale yaliyolupuka katika kambi ya Jershi Mbagala.
SAJETI Daniel Mwakipesile akiwaonesha wananchi namna RPG inavyobebwa wakati wa kupiga.
Mbayuwayu hizo wananchi wakipata maelezo yake wakati wa maoneshio maalumya JWTZ katika kuadhimisha mika 45 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo. Kilele kitakuwa Septemba 1, 2009.
Hata wewe ukifika pale Ukongha Airwing utajionea mambo haya. Wahi kabla ya Jumanne Septemba 1.
Posted by MROKI On Thursday, August 27, 2009 1 comment
Tigo Kila Mmoja anashinda na haibagui haichagui katika kumwaga mahela. Pichani ni wateja mbalimbali walioshinda fedha katika promosheji ya "Tigo Kila mmoja anashinda" Juma hili.
Posted by MROKI On Thursday, August 27, 2009 No comments

August 26, 2009

Timu za Mtibwa Sukari (kushoto) na African Lyone wakitoka uwanjani baada ya mchezo kumalizika katika Uwanja wa Uhuru (Kwa Bibi) leo. Mtibwa ilishinda 2-0. Katika mchezo wa awali Lyone waliikamia Yanga na kutoka nao sare ya 1-1.
Bosi wa African Lyone Mohamed Dewji akiwa ameshika tama baada ya vijana wake kuchapwa goli 2-0 na Mtibwa Suger.
Bosi wa Mtibwa Sukari Jamal Baizer akifuatilia kwa makini vijana wake wakitoa dozi kwa African Lyone.
Posted by MROKI On Wednesday, August 26, 2009 No comments
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Askofu Mkuu Jimbo Katoliki la Mwanza Marehemu Mhashamu Antony Mayala wakati wa ibada ya Mazishi iliyofanyika nyumbani kwake eneo la Kawekamo,Mwanza na baadaye kuzikwa katika kanisa kuu la Epifania mjini Mwanza.
Maaskofu wakiomboleza.
Kwaya mbalimbali zilikuwepo kusindikiza mazishi
wakuu wakiagana baada ya kumaliza shughuli ya mazishi. Ni Rais Mstaafu Benjamin Mkapa na Rais Jakaya Kikwete.
Posted by MROKI On Wednesday, August 26, 2009 No comments
Muimbaji wa nyimbo za injili wa jijini Mwanza,Esther Tindosi Kusekwaanatarajia kuzindua albamu yake mpya itakayoitwa Faraja kwa yatima nawajane, mnamo Agosti 29 katika uwanja wa Kambarage,mjini Shinyanga naAgosti 30 katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwaza.

Uzinduzi huo ambao unaratibiwa na kampuni ya Flora TalentPromotions,chini ya Mkurugenzi wake Bi.Flora Lauwo ,utakuwa ni wapekee na wenye kuwasisimua wapenzi wa muziki huo wa kiroho ambao kwasasa umekuwa ukikubalika na kupendwa kwa kiasi kikubwa.


Bi.Flora alisema kuwa albamu itakayoziduliwa itakuwa na jummla yanyimbo nane, ambazo kwa kuzitaja chache ni Faraja kwa yatima na wajaneuliobeba albamu nzima,nagalolela ambao umeimbwa kwa lugha yakisukuma,Kemea,Ole wao,Akina mama,Dhambi,Nimechoka na nyinginezo.
"Watakaousindikiza uzinduzi huo atakuwepo muimbaji mahiri wa muziki wakiroho kama vile Joseph Nyuki,Mchungaji Baru,Jerusalem Band,MathaRamadhani,Kwaya ya Vijana wa Bwiru, Kwaya ya AIC Makongoro bilakumsahau Bi Josephin anayetamba na wimbo wake wa mateso ya mwenyehaki, na band nzima ya Tabata ambao wanatamba na wimbo wao wa natembeakidogo kidogo, nikinyatanyata,Na wengine weeeeengi."amesema Flora.
Flora amesema kuwa katika suala la maandalizi kila kitu kinakwendasawa mpaka sasa,na kwamba kiingilio kimepangwa kuwa shilingi 1000/=kwa watoto na watu wazima kuwa ni shilingi 2000/=.
Posted by MROKI On Wednesday, August 26, 2009 No comments

August 24, 2009

Mwanafunzi wa Chuo cha Kiislam cha An-nujumu, Pilli Abdallah, akisomakwa kukariri kutoka katika kitabu cha Quran JUZUU 20, wakati wa mashindano ya vyuo mbali mbali yaliyofanyika ktika Viwanja vya Mwembe YangaTandika, Dar es Salaam jana.
Mwanafunzi wa Chuo cha Kiislam cha Hidayatul Alfal, Naima Othman, akisomakwa kukariri kutoka katika kitabu cha Quran(masaafu) JUZUU 10, wakati wa mashindano ya vyuo mbali mbali yaliyofanyika ktika Viwanja vya Mwembe YangaTandika, Dar es Salaam jana.
Msenaji wa Kituo cha Ubarozi wa Iran, Mostafa Kanjibar,akimkabidhi Samira Ally,bahasha yenye fedha shilimgi elfu 40, baada ya kushinda kusoma juzuu 10, wakati wa mashindano ya kurani Tandika, jana.
Mkuu wa Shule ya Kiislamu ya Bilal Comprehensive, Mrs Siddika Karim, akifafanua jambowakati wa mashindano ya Kusoma Kurani ya Vijana kutoka Vyuo Mbalimbali vya Kiislamu,yaliyofanyika katika Viwanja vya Mwembe Yanga, Dar es Salaam jana.ikiwa ni kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Mwanafunzi wa Chuo cha Kiislam cha Hidayatul Alfal, Nassoro Ally akisomakwa kukariri kutoka katika kitabu cha Quran(masaafu) JUZUU 20, wakati wa mashindano ya vyuo mbali mbali yaliyofanyika ktika Viwanja vya Mwembe YangaTandika, Dar es Salaam jana.
Posted by MROKI On Monday, August 24, 2009 No comments
wafugaji wa Ndungu wilayani same
Mfugaji wa Kijiji cha Ruvu wilayani Same akionesha mifugo iliyokufa kutokana na ukame. 2006
Eneo la makazi ya wafugaji Ndungu Likionekana kuwa kame na hakuna mifugo.
Mtoto wa Kimasai akiwamba ngozi katika kijiji cha Ruvu Wilayani Same.
Wakazi wa Makanya wakisubiri kugaiwa chakula cha msaada baada ya ukame kuyakumba maeneo mengi ya nchi mwaka 2006.
Posted by MROKI On Monday, August 24, 2009 No comments
Morani wa Kimasai wa kijiji cha Kimokouwa kata ya Namanga wilayani Longido wakiokoa mifugo yao iliyozama katika dimbwi la maji kufuatia mvua kubwa iliyonyesha juzi kijijini hapo na kusababisha mifugo mingine kufa. Ng'ombe hao walikuwa wanakunywa maji lakini walishindwa kutoka kutokana na kukosa nguvu. Vijana hao toka kulia ni Roymen Kayongo, Philipo Saroni na Samueli Molel. Hii ilikuwa Marchi 1 2006.
Kwa wafugaji ilikuwa ni janga kubwa. mfugaji aliye na Ng'ombe elfu 3 alibaki na kumi au chini ya hapo wengine walikufa.
wafugaji wa Kimokouwa Longido wakiangalia mifugo iliyokufa kwa ukame.

Watoto wa kimasai wa kijiji cha Kimokouwa wakilisha mbuzi katika miti mikavu Mfugaji akiswaga ndama walio salia baada ya Ng'ombe wake zaidi ya 700 kufa kwa ukame.
Rais Jakaya Kikwete juzi alitembelea Wilaya ya Longido kuangalia athari za Ukame na upungufu wa chakula uliopo Wilayani humo na kuahidi kuwapatia msaada.
Blogu hii ya jamii inawaomba viongozi wa serikali kuhakikisha zoezi hilo linafanyika kwa haraka na bila usumbufu.
Posted by MROKI On Monday, August 24, 2009 No comments
wafanyakazi wa TAZARA leo walikuwa katika mgomo baridi kwa kile walichodai ni kutafakari matokeo ya kikao cha baraza la wafanyakazi lililoshindwa kutekeleza maombi yao zaidi ya 5 ya maslahi kazini.
-Nyongeza ya Mshahara itolewe bila masharti
-Malipo yaendane na soko la Dola (jamaa wanalipwa dola)
-Miaka ya Kustaafu iwe 60 badala ya 55 ya TAZARA
-Pensheni nayo iwe ya Hiari sio ya TAZARA.
-Mgawanyo sawa wa uongozi, Ofisi ya tanzania imejaa Wazambia wakati zambia hakuna watanzania.
-Mgawanyo wa kazi pia ueleweke.
Wafanyakazi hao wakiimba wimbo wa mshikamano kwa wafanyakazi.
Posted by MROKI On Monday, August 24, 2009 No comments
Hapa tunadumisha mila kwa kusuka akina mama ile nywele yetu. Morani wakiwa kazini pale Ilala Amana. Sikuhizi vijana wa kimasai hakuna kufuga dili zote mjini kulinda na kusuka pamoja na kuuza dawa za jadi.
Posted by MROKI On Monday, August 24, 2009 No comments
wakati umewadia wa kuhesabu nanihii katika Dua, Kijana mkazi wa Dar es Salaam akiuza tasbihi katika mataa ya Chang'ombe leo. Moja ni buku (1,000).
Posted by MROKI On Monday, August 24, 2009 No comments
Malipo ya waathirika wa mabomu Mbagala yameanza kutolewa leo katika Ofisi za Manipaa ya Temeke Dar es Salaam. Pichani ni wakzi hao wakisubiri kuitwa. Wakihakiki picha zao za majengo na walipwaji halali. Wakipokea Hundi zao kutoka kwa maofisa husika wa Manipaa.
Akionesha hundi yake japo hakuridhika na malipo aliyopata ya sh Milioni 1.6.
Waliona malalamiko waliwasilisha baada ya kupokea Hundi au kabla.maana wapo wanaolipwa 30,000 wakati alitaraji milioni kadhaa.
Posted by MROKI On Monday, August 24, 2009 No comments
  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo