Nafasi Ya Matangazo

November 19, 2009

Katika kuhamasisha wananchi wake kushangilia ujio wa Michuano ya Kombe la Dunia Nchini Afrika Kusini, nchi hiyo imeamua kila Ijumaa wafanyakzi wote wa serikali kuanzia mawaziri hadi wafagiaji maofisini ni lazima kuvaa fulana ya timu ya Taifa ya nchi hiyo. Pichani ni baadhi ya watumisi wa serikali wakiwa wamevalia jezi hizo.
Huyu ni Wairi wa Maji wa Afrika Kusini Buyelwa Patience Sonjica akiwa amevalia fulana ya timu yake ya Taifa Bafana Bafana.
Posted by MROKI On Thursday, November 19, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo