Nafasi Ya Matangazo

November 23, 2009

Maonesho ya JUA KALI/NGUVU KAZI yaanza Dar es Dar es SalaamKwa bia hivi ndo vyenyewe wadau Maonesho ya nchi za Afrika mashariki yanayowahusisha wajasiriamali wadogo maarufu sana kama Jua Kali/Nguvu Kazi yameanza Novemba 23 -29,2009 katika viwanja vya maonesho ya biashayta ya Kimataifa saba saba (mwalimu Nyerere Dar es Salaam.Pichanai ni Mjasiriamali Glory Frank kutoka majengo Moshi akiwa ametuletea vikombe vya asili vya kushushia mambo flani.
Mama kutoka Kenya Pamela Otieno Onyango akiweka sawa bidhaa zake za mikono.
Huyu nae ni Kutoka kwa watani...
mtani wa mwisho huyu Millicent Kihumba akiweka vitu vyake sawia. Wabongo kidogo hatupo makini na maonesho haya.
Posted by MROKI On Monday, November 23, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo