Nafasi Ya Matangazo

November 19, 2009

Wazazi wa Bibi Fatuma na Bwana Amani Mahanga wakiwa na furaha baada ya Binti yao mpendwa Mosi (katikati)kutimiza mika Kumi ya kuzaliwa nyumbani kwao Buza Jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Mtoto Mosi Amani Mahanga akikata Keki wakati wa sherehe za kutimia mika Kumi ya kuzaliwa kwake nyumbani kwa wazazi wake Buzza Jijini Dar es Salaam hivi karibuni. (Picha zote na Moshy Kiyungi)
Posted by MROKI On Thursday, November 19, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo