Eva wa HAZINA alivyoiaga familia yake
Eva Ngowi (kushoto) na mpambe wake Monica Sapanjo wakati wa tafrija ya kumuaga Eva iliyofanyika katika ukumbi wa Peace mjini Moshi. Eva anataraji kuoana Jumamosi hii jijini Dar es Salaam.
Eva akimnywesha Mbeke mchumba wake (mume mtarajali) Adabart Achard Tibikunda wakati wa tafrija hiyo mjini Moshi.
Kapu la mama...Eva akikabidhiwa zawadi za kapu la mama.
Ebwanaeeee... Eva ametukutanisha vijana wa zamani Mzumbe wakati huo ni IDM, toka shoto ni Father Kidevu a.k.a Mroki Mroki, Jonse Mwalemba, Adabart Archard na Peter Katalyeba.
Tabasamu la mama la kumuaga Binti yake, akina mama wengine hulia lakini huyu anafurahia heshima aliyopewa na Binti yake anaolewa. Ni mama Claudia Ngowi na Eva Ngowi.
November 23, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






0 comments:
Post a Comment