tag:blogger.com,1999:blog-1721276820777213084.post1723534832091629690..comments2024-03-25T18:33:58.304+03:00Comments on Father Kidevu: MAMBO YA KANUMBAMKhttp://www.blogger.com/profile/00232863344956268451noreply@blogger.comBlogger30125tag:blogger.com,1999:blog-1721276820777213084.post-3141856730231864452012-04-25T18:12:53.538+03:002012-04-25T18:12:53.538+03:00Hi wabongo inasikitisha sana kwa kuona watu wanaja...Hi wabongo inasikitisha sana kwa kuona watu wanajaji vile Kanumba alikosea,Mbona mnajaji wakati ameshaondoka? kwa nini msimjaji wakati akiwa hai? Inamaana hao wote waliomkosoa wanaweza kuandika kizungu bila kukosea hata kidogo? Kabla hujanyoosha kidole chako kwa mwingine hebu jitazame kwanza wewe? ndipo sasa uweze kumnyooshea mwingine.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1721276820777213084.post-70853080650747845832012-04-14T14:47:10.607+03:002012-04-14T14:47:10.607+03:00Da wabongo bwana nimesoma yote hapo juu na sina mb...Da wabongo bwana nimesoma yote hapo juu na sina mbavu maana ni majungu na vijembe kwa kwenda mbele,da mi sina cha kuchangia kabisa ila wabongo tuko juu kwa comment.Poa lkn mshikaji ndo katutoka hivyo!!!YONISMnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1721276820777213084.post-42521363633749204332012-04-12T20:47:14.941+03:002012-04-12T20:47:14.941+03:00Hivi kwanini sisi watanzania tunafagilia sana king...Hivi kwanini sisi watanzania tunafagilia sana kingereza si ni lugha tuu Kama lugha nyingine, sizani wote mliomsema Kanumba kuwa yeye anakingereza kibaya mbona hajajibu kingereza acheni chuki na wivu si vizuri. Mimi nimekaa uk miaka 20 bado sijui kuandika vizuri wala kuongoea kwasababu sio lugha yangu, pia mzungu wambie ajifundishe kiswahili uone mambo acheni hizo. Upendo mmoja.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1721276820777213084.post-70500846931281195842012-04-10T21:21:08.254+03:002012-04-10T21:21:08.254+03:00muliokuwa mukimkosoa hicho kizungu ni lugha yako??...muliokuwa mukimkosoa hicho kizungu ni lugha yako??? Kanumba ingawa hivi sasa ni marhemu nakupongoza kwa kila kitu ulichokifanya katika uhai wako ulikuwa mtu hodari mwenye bidii mcheshi, mtu wa watu laiti Mungu angekuchelewesha kidogo nina uhakika ungetimiza hata my dream kwani daima nilikuwa nakuombea uwe katika dini yangu. Kazi ya mola haina makosa Mola ailaze roho yako pahali mustahik na daima tutakupendaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1721276820777213084.post-77730402410195139452012-01-26T14:17:46.346+03:002012-01-26T14:17:46.346+03:00KANUMBA HONGERA SANA KWA KUJIAMINI HUYO ANAYEKUKO...KANUMBA HONGERA SANA KWA KUJIAMINI HUYO ANAYEKUKOSOA YEYE LUGHA YAKE KEEP IT UP MAN.first lady ericahhttps://www.blogger.com/profile/18206091482437049185noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1721276820777213084.post-69301375358432351572012-01-12T15:45:03.265+03:002012-01-12T15:45:03.265+03:00Kwa utngenezaji wa filamu tanzania, bado ni wa hal...Kwa utngenezaji wa filamu tanzania, bado ni wa hali ya chini sana lakini kutokana na tanzania na baadhi ya nchi za kiafrika hizo filamu ni poa tu. Kitanzania makert ni poa. Napenda kukushauri hasa ktk upande wa kudairekiti na kutafsiri ktk kiingereza itabidi mfanye kazi ya ziada ya kujiendeleza sana. Pamoja na filamu nyingi ni za kuigana lakini filamu nyingi mnazozitengeneza mnawaiga sana wanaijeria na wagana. Aina ya kamera na edit softwares mnazozitumia ni za hali ya chini sana ndio maana filamu zenu hazina ubora wa kimataifa. Nafikiri hata sheri hasa ktk swala zima la hati miliki haiwapi manufaa hata kidogo. Mwadila nghosha!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1721276820777213084.post-69459455990401243882012-01-11T12:10:48.356+03:002012-01-11T12:10:48.356+03:00Hongera sana Kanumba uko juu kwenye movie zako ila...Hongera sana Kanumba uko juu kwenye movie zako ila ushauri wa buree ongeza bidii kwenye Kidhungu Kaka!!!!!!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1721276820777213084.post-53110725669782604732011-12-11T17:37:10.039+03:002011-12-11T17:37:10.039+03:00jamani hivi vingereza vyenu vinanitia kichefuchefu...jamani hivi vingereza vyenu vinanitia kichefuchefu. Naomba mtumie kiswahili hata mkibofoa haitakuwa mbaya kiasi hikiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1721276820777213084.post-51105228715699902702011-12-04T02:44:51.067+03:002011-12-04T02:44:51.067+03:00Hongera kijana, achana na wanaokupondo kwa makosa ...Hongera kijana, achana na wanaokupondo kwa makosa madogo madogo katika kiingereza. Siyo lazima mtu ajue kiingereza ndiyo afanikiwe. Mbona wachina hawakijui, wala hawajisumbui nacho, lakini mambo yao?
Kaza uzi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1721276820777213084.post-24897339179182505592011-11-29T01:40:38.824+03:002011-11-29T01:40:38.824+03:00Big up kamumba uwe makini sana kwenye kazi. Hakiki...Big up kamumba uwe makini sana kwenye kazi. Hakikisha dada zetu wazuri wazuri wote umewamaliza kabisaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1721276820777213084.post-57107402803603921922011-11-19T20:27:16.753+03:002011-11-19T20:27:16.753+03:00Kiingereza ni lugha yetu ya tatu!hata viongozi wet...Kiingereza ni lugha yetu ya tatu!hata viongozi wetu wa ngazi ya juu hawajui kuzungumza kilichonyooka sembuse Kanumba mtoto wa juzi?????Kazana mzee unaweza achana na wasemayo,uko juu,angalia unataka nini na sio yote ya kukeep in mind mbaba.Nakufagilia kiukweli.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1721276820777213084.post-81574185358282781722011-11-13T23:20:53.759+03:002011-11-13T23:20:53.759+03:00big up kanumba!!! but try to improve your grammar,...big up kanumba!!! but try to improve your grammar,for biography,good grammar is needed.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1721276820777213084.post-18038446757285461102011-11-11T19:46:23.492+03:002011-11-11T19:46:23.492+03:00HEY MSHIKAJI RUDI TENA SHULE ENGLISH NAONA BADO IN...HEY MSHIKAJI RUDI TENA SHULE ENGLISH NAONA BADO INA KUPIGA CHENGA! KUMBUKA WEWE HUENDA UKAWA ACTOR WA KUJULIKANA SIO BONGO TU, LABDA AFRICA NZIMA NA HATA MAREKANI. I WAS GIVEN BIRTH: THATS NOT ENGLISH ENOUGH FOR SOMEBODY LIKE YOU! EVERYBODY SAYS : I WAS BORN IN, etc.

ENGLISH, ENGLISH! INA MAANA WEWE NI ONLY FORM 4 TU TRY

TO EDUCATE YOUR SELF MORE STILL YOU HAVE A TIMEAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1721276820777213084.post-47018237263808406212011-11-05T10:31:20.210+03:002011-11-05T10:31:20.210+03:00wewe ndo fool kwa sababu wenzako wamempongeza na k...wewe ndo fool kwa sababu wenzako wamempongeza na kutoa ushauri nini afanye ili awe fit katika lugha angalau hii ya kimataifa. unachofanya wewe ni kutaka kumrudisha nyjma kanumba kwa kutomshauri vema. tukubali tu kuwa mawasiliano ni kila kitu. kujifunza lugha za wenzetu sio ushamba. so hebu tuondelee roho ya kwanini hapa!
kANUMBA BIG UP SANA. ILA KUJIFUNZA LUGHA NA KUIJUA VIZURI ITAKUFIKISHA MBALAI...SIO KI BBC TU NA LUGHA INGINE YOYOTE..knowledge is power! go boyAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1721276820777213084.post-21534154689440729122011-11-02T15:12:21.393+03:002011-11-02T15:12:21.393+03:00wewe utakua ndugu yake kanumba pia, spelling zinak...wewe utakua ndugu yake kanumba pia, spelling zinakupa tabu, composition mbovu, kasaidiane na mwenzio mtengeneze kimombo chenu. wapondaji katika jamii ni muhimu kwa ajili ya kunyoosha.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1721276820777213084.post-24044002657596758222011-11-01T15:42:07.031+03:002011-11-01T15:42:07.031+03:00jamani kanumba napenda saaana movie yako haswa ile...jamani kanumba napenda saaana movie yako haswa ile uliocheza na kina jenipha hahahah nikiiangaliaga vile jenifa alivyokuwa kakuzid ujanja mie mbavu sina hahahahahha nice one i like itAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1721276820777213084.post-20135144370949880992011-10-25T17:54:53.178+03:002011-10-25T17:54:53.178+03:00Inavyoonekana hata nyinyi hamna mbele wala nyuma n...Inavyoonekana hata nyinyi hamna mbele wala nyuma na ndio maana mpo kwenye blog za wa2 kwa ajili ya kuponda na ndio maana sam wa ukweli anasema hata kwetu wapo kaza buti kaka usiangalie m2 anasema nn we angalia maisha yako. Rihanna wa tzAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1721276820777213084.post-30318623972817903942011-10-24T13:58:44.545+03:002011-10-24T13:58:44.545+03:00watanzania kwa kukatishana tamaa kamwe hatuwezi ku...watanzania kwa kukatishana tamaa kamwe hatuwezi kufika, kwanza kabisa mtambue lugha hii sio yetu halafu pili ya kwako iko wapi ambayo umeandika ikiwa correct bwana mmezidi bigup kanumba kaza buti utafika unapopataka inshallahAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1721276820777213084.post-48851519552550178752011-10-19T17:18:10.935+03:002011-10-19T17:18:10.935+03:00We nawe ni another MAIMUNA! Hivi unadhani kweli kw...We nawe ni another MAIMUNA! Hivi unadhani kweli kwa kidhungu chake atapata soko la nje? either you agree or not English yake ni mbovu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1721276820777213084.post-67075865593345422682011-09-11T15:00:51.865+03:002011-09-11T15:00:51.865+03:00Mi nadhani watanzania tuna matatizo makubwa sana. ...Mi nadhani watanzania tuna matatizo makubwa sana. Kiingereza alichotumia Kanumba sio kibaya. Ila ni matatizo tu ya watanzania kuangalia kutaka kutoa kibanzi katika mboni za wenzao bila kuangalia zao kwanza kama ziko sawa. Kanumba,big up mzee...English is not our first language,but I do appreciate you for your good English. Time will tellJammannoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1721276820777213084.post-85071921732571818202011-08-14T03:44:47.306+03:002011-08-14T03:44:47.306+03:00don't be jelous cause his talent, any way if ...don't be jelous cause his talent, any way if u comment negatively u'r satan servantslukozi pilipilinoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1721276820777213084.post-85211374550868825882011-05-30T11:48:03.158+03:002011-05-30T11:48:03.158+03:00nadhani nivizuri kushauriana,those who commented n...nadhani nivizuri kushauriana,those who commented negatively are not fools ila wanashauri kitu kizuri tu .as human beings tunsjifunza kutokana na makosa and huwezi kujua your weakness unless watu wakuseme,so my brother kanumba do not ignore the comments but effectively work on them ,!

wewe ni mkali "real a star ".sayihttp://winnienoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1721276820777213084.post-18121198731872170882010-08-24T12:55:27.512+03:002010-08-24T12:55:27.512+03:00it's better you who know how to use the net, c...it's better you who know how to use the net, coz the one who is judging you what about himDaniel Aloycenoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1721276820777213084.post-9408678414305561032009-12-07T17:20:54.706+03:002009-12-07T17:20:54.706+03:00what i would like to advise the community that usu...what i would like to advise the community that usually used to lament on KANUMBA'S speach is that let him use any he likes,it doesn't wheather he totally or partially knows about it.YOU FOOLS TALKING NONSENSE ON WHAT KANUMBA HAS SPOKEN GIVE US YOUR CRITICAL LOW ABILITY OF U'R BRAINS.NEVER ARGUE WITH A FOOL KANUMBA.Unknownhttps://www.blogger.com/profile/16803518024020435110noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1721276820777213084.post-10284622630241369582009-09-29T16:31:59.858+03:002009-09-29T16:31:59.858+03:00Kwanza nimpongeze Kanumba kwa kutoa Blog nzuri kwa...Kwanza nimpongeze Kanumba kwa kutoa Blog nzuri kwa kutazama. Inaonyesha kuwa amedhamiria kujitangaza vyema.
Lakini sasa ... pamoja na mvuto wa Blog ukisoma mwana ... shuguli ipo.
Ushauri wa bure:
uliwekeza muda na pesa kutoa blog basi ongezea japo kidogo ili watu wakutengenezee maandishi yaliyotulia kwa kimombo au basi kama hilo inasumbua rudi nyumbani na andika kwa Kiswahili, unaonaje?Anonymousnoreply@blogger.com