Nafasi Ya Matangazo

September 30, 2022

MWENYEKITI wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji Mst. Hamisa Kalombola, akiongozana na menejimenti ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) wakati wa ziara ya Makamishna wa Tume Utumishi wa Umma katika Mamlaka hiyo jijini Dodoma leo Septemba 30,2022. 
a
MWENYEKITI wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji Mst. Hamisa Kalombola, akizungumza na menejimenti ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) wakati wa ziara ya Makamishna wa Tume Utumishi wa Umma katika Mamlaka hiyo jijini Dodoma leo Septemba 30,2022.  
MWENYEKITI wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji Mst. Hamisa Kalombola (wa tatu kulia) pamoja na Makamishna wakimsikiliza Mwandisi wa Uzalishaji Maji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Peter Shemwelekwa, akielezea mfumo wa kieletroniki wa uzalishaji maji wakati wa ziara ya Makamishna wa tume katika Mamlaka hiyo jijini Dodoma leo Septemba 30,2022. Wapili kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa DUWASA, Mhandisi Aron Joseph.
MKURUGENZI Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph, akitoa maelezo kwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji Mst. Hamisa Kalombola (katikati) pamoja na Makamishna kuhusu ukubwa wa visima na aina ya pampu zinazotumika wakati wa ziara ya Makamishna wa tume katika Mamlaka hiyo jijini Dodoma leo Septemba 30,2022. 
MKURUGENZI Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph, akitoa maelezo kwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji Mst. Hamisa Kalombola pamoja na Makamishna katika vituo vya kusukumia maji (booster station) Mzakwe wakati wa ziara ya Makamishna wa tume katika Mamlaka hiyo jijini Dodoma leo Septemba 30,2022. 


Posted by MROKI On Friday, September 30, 2022 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo