Nafasi Ya Matangazo

August 20, 2019

Kongamano la kuongeza maarifa la TEDx Oysterbay, liilifanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam na kuwakutanisha wadau kutoka nyanja mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi. ambapo walipata fursa ya kusikiliza mada na kubadilishana mawazo na uzoefu kuhusiana na masuala ya ubunifu, mapinduzi ya teknolojia,michezo na mada nyinginezo nyingi zenye kuelimisha zilizotolewa na wataalamu.Kampuni ya bia Tanzania (TBL) ilikuwa mmoja wa wadhamini wa kongamano hilo.
 Baadhi ya washiriki wakifuatilia mada wakati wa kongamano la TEDx Oysterbay lililofanyika katika ukumbi wa The Little Theatre jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya washiriki wakibadilishana mawazo wakati wa kongamano hilo
Baadhi ya washiriki wakifurahi katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kongamano hilo
Posted by MROKI On Tuesday, August 20, 2019 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo