Nafasi Ya Matangazo

February 16, 2019

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Dkt. Rehema Nchimbi mara baada ya kuwasili wilayani Manyoni na kupokea taarifa ya mkoa katika ukumbi wa Halmashauri Manyoni ikiwa siku ya kwanza ya ziara yake ya kuhamasisha na kukagua shughuli za kimaendeleo mkoani humo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivishwa skafu na vijana wa skauti mara baada ya kuwasili wilayani Manyoni, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Dkt. Rehema Nchimbi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Manyoni Mashariki Mhe. Daniel Mtuka mara baada ya kuwasili wilayani Manyoni tayari kwa ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za kimaendeleo mkoani Singida. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Posted by MROKI On Saturday, February 16, 2019 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo