Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mgeni wake Bw. Sunil Mittal
Mwenyekiti wa Bharti Airtel ( kampuni ya
Simu ya Airtel ) mara baada ya kuwasili kwaajili ya mazungumzo , Ikulu Jijini
Dar es Salaam. Januari 11,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Bw.
Sunil Mittal Mwenyekiti wa Bharti Airtel
( kampuni ya Simu ya Airtel ) Waziri wa Katiba na Sheria Profesa
Paramagamba John Mwaluko pamoja na mwakilishi kutoka kampuni ya Bharti Airtel.
Ikulu Jijini Dar es Salaam. Januari 11,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Bw.
Sunil Mittal Mwenyekiti wa Bharti Airtel aliyeambatana na ujumbe wake kutoka
kampuni ya Simu ya Airtel pamoja na Waziri wa Katiba na Sheria Profesa
Paramagamba John Kabudi, Gavana wa BOT Profesa Luoga, Katibu Mkuu Wizara ya
Fedha na Mipango Dotto James, Mtendaji mkuu wa kituo cha Uwekezaji (TIC )
Geoffrey Mwambe pamoja na Mwenyekiti wa
Bodi ya TTCL Mhandisi Omary Nundu. Ikulu
Jijini Dar es Salaam. Januari 11,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisoma taarifa ya majadiliano kutoka kwa
mgeni wake Bw. Sunil Mittal Mwenyekiti wa Bharti Airtel ( kampuni ya Simu ya
Airtel ) mara baada ya Mazungumzo yao . Ikulu Jijini Dar es Salaam. Januari
11,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Bw. Sunil
Mittal Mwenyekiti wa Bharti Airtel aliyeambatana na ujumbe wake kutoka kampuni
ya Simu ya Airtel pamoja na Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Paramagamba John
Kabudi, Gavana wa BOT Profesa Luoga, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango
Dotto James, Mtendaji mkuu wa kituo cha Uwekezaji (TIC) Geoffrey Mwambe pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL Mhandisi Omary Nundu, Mara baada ya kumaliza
mazungumzo yao. Ikulu Jijini Dar es Salaam. Januari 11,2019.
Mwenyekiti wa Bharti Airtel (kampuni
ya Simu ya Airtel) Bw. Sunil Mittal akizungumza na Wana habari (hawapo pichani)
kuhusu mazungumzo yao na Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Januari 11,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wana habari (hawapo pichani)
kuhusu mazungumzo yao na Mwenyekiti wa
Bharti Airtel (kampuni ya Simu ya Airtel) Bw. Sunil Mittal, Ikulu Jijini Dar es
Salaam. Januari 11,2019. PICHA
NA IKULU
0 comments:
Post a Comment