Nafasi Ya Matangazo

January 22, 2019

Mhe. Rais John Pombe Magufuli anawasikiliza baadhi ya wachimbaji wadogo wa madini wakitoa kero zao katika mkutano Mkuu wa kisekta wa wachimbaji, wafanyabiashara na wadau wa sekta ya Madini katika ukumbi wa Mwalimu J.K Nyerere jijini Dar es salaam 22, 2019.
Mhe. Rais John Pombe Magufuli anawasikiliza baadhi ya wachimbaji wadogo wa madini wakitoa kero zao katika mkutano Mkuu wa kisekta wa wachimbaji, wafanyabiashara na wadau wa sekta ya Madini katika ukumbi wa Mwalimu J.K Nyerere jijini Dar es salaam 22, 2019. Source:Michuzi Blog
Baadhi ya wadau wa sekta ya madini na wafanyabiashara waliohudhuria Mkutano Mkuu wa kisekta katika ukumbi wa Mwakimu J.K. Nyerere jijini Dar es salaam 22, 2019.
Baadhi ya wadau wa sekta ya madini na wafanyabiashara waliohudhuria Mkutano Mkuu wa kisekta katika ukumbi wa Mwakimu J.K. Nyerere jijini Dar es salaam 22, 2019.
Rais wa shirikisho la vyama vya Wachimbaji wadogo wadogo wa madini (FEMATA) John Bina alipokuwa akisoma hotuba kuwakilisha wachimbaji wenzake katika Mkutano Mkuu wa kisekta jijini Dar es salam, Mkutano huo unafanyika katika ukumbi wa Mwalimu J.K Nyerere leo Januari 22, 2019.
Mmoja wa Baadhi ya wadau wa sekta ya madini akizungumza changamoto wanazokumbana nazo,mbele ya Rais Dkt John Pombe Magufuli kwenye Mkutano Mkuu wa kisekta katika ukumbi wa Mwakimu J.K. Nyerere jijini Dar es salaam leo Januari 22, 2019.
Baadhi ya wadau wa sekta ya madini na wafanyabiashara waliohudhuria Mkutano Mkuu wa kisekta katika ukumbi wa Mwakimu J.K. Nyerere jijini Dar es salaam 22, 2019.
Baadhi ya wadau wa sekta ya madini na wafanyabiashara waliohudhuria Mkutano Mkuu wa kisekta katika ukumbi wa Mwakimu J.K. Nyerere jijini Dar es salaam 22, 2019 wakifurahia mada mbalimbali zilizokuwa zikijadiliwa ukumbini humo.

Posted by MROKI On Tuesday, January 22, 2019 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo