Nafasi Ya Matangazo

December 05, 2018

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea kumjulia hali  Jijini Dar es Salaam.Disemba 5,2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiomba Dua Maalumu na Rais Mstaafu wa awamu ya pili , Ali Hassan Mwinyi, Bi. Sitti Mwinyi (Mke wa Mzee Mwinyi) pamoja na Abdallah Mwinyi (Mtoto wa Mzee Mwinyi) alipomtembelea kumjulia hali Jijini Dar es Salaam.Disemba 5,2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea kumjulia hali  Jijini Dar es Salaam.Disemba 5,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Bi Sitti Mwinyi Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea kumjulia hali  Rais Mstaafu Jijini Dar es Salaam.Disemba 5,2018 . Picha na Ikulu.
Posted by MROKI On Wednesday, December 05, 2018 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo