Nafasi Ya Matangazo

May 02, 2018

Rais Dk John Pombe Magufuli akimkabidhi cheti Mfanyakazi Bora wa Shirika la Umeme nchini Tanesco, ambaye ni Fundi Mchundo Endure Kiswaga kutoka kituo cha kufua Umeme Pangani Tanga.
 Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) ni miongoni mwa maelfu ya wafanyakazi waliojitokeza kwa wingi Mjini Iringa katika sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani MEI MOSI ambapo kitaifa iliadhimishwa mkoani humo na kuongozwa na Rais Dk John Pombe Magufuli.
 Mwanadada mfanyakazi wa Tanesco akionesha utalaam wake wa kuunga waya za umeme katika nguzo kubwa wakati gari lao la maonesho likipita mbele ya mgeri rasmi katika uwanja wa Samora mjini Iringa.
Magari ya Tanesco yakiwa katika maandamano hayo ya Mei Mosi mjini Iringa

  Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) ni miongoni mwa maelfu ya wafanyakazi waliojitokeza kwa wingi Mjini Iringa katika sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani MEI MOSI ambapo kitaifa iliadhimishwa mkoani humo na kuongozwa na Rais Dk John Pombe Magufuli

Posted by MROKI On Wednesday, May 02, 2018 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo