Nafasi Ya Matangazo

March 03, 2018

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.

Klabu ya Simba inapenda kuvialika vyombo vya habari katika mkutano wake na waandishi wa habari utakao fanyika Makoa makuu ya klabu.

Mkutano huu utafanyika leo siku ya Jumamosi Majira ya saa sita mchana katika ukumbi mdogo wa klabu.

Hivyo tunawaomba sana wahusika (waandishi wa habari) mfike bila kukosa kwa kuzingatia muda uliopangwa,kwani kuna mambo mengi ya kuzungumza.

Imetolewa na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano,

Haji S. Manara.
3/3/2018.

Simba Nguvu Moja..!!!
Posted by MROKI On Saturday, March 03, 2018 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo