Nafasi Ya Matangazo

January 22, 2018

MBUNGE wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akifanya ziara ya kukagua miradi na kusikiliza kero za wananchi pamoja na kuendelea kuhimiza maendeleo katika Kata ya Vigwaza, Halmashauri ya Chalinze. 
Wananchi wa Vigwaza walipata fursa ya kuuliza maswali na kuchangia hoja sao wakati wa  ziara hiyo na kwa pamoja kuamua juu ya uelekeo mzuri wa utatuzi wa kero hizo. Mambo makubwa yaliyoibuka ni pamoja na mahitaji ya Umeme ,Ajira kwa Vijana, maendeleo ya Afya,Elimu , Miundombinu na mengineyo.
Sehemu ya Bidhaa zinazotengenezwa na vikundi vya Kimaendeleo. Kikundi cha jipe Moyo ambacho ni moja kati ya vikundi vilivyofaidika na fursa za Mitaji Katika Halmashauri na  Mfuko wa Jimbo  ambao upo chini ya Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete. Wananchi wakionyesha kazi zinazotokana na Mikono yao mbele ya Mbunge. 
 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akijadiliana jambo na muja wa Viongozi wa Chama 
Wananchi wakiwa katika moja ya mikutano hiyo na Mbunge. #chalinzekazitu #hapakazitu #magufulinikazitu #ccmnikazitu #vigwaza
Posted by MROKI On Monday, January 22, 2018 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo