Nafasi Ya Matangazo

January 22, 2018

Mwenyekiti wa Serekali ya Mtaa wa Kawawa Kata ya Hananasifu Elizabeth Masao akizungumza jijini Dar es Salaam juzi, katika hafla ya kukabidhi vya kula kwa watoto yatima wa Kituo cha Maunga Centre vilivyotolewa na kikundi cha Hananasifu Jogging Club Kinondoni. (Na Mpiga Picha Wetu).Mwenyekiti wa Jogging Club Kinondoni Majani Mrope akizungumza jijini Dar es Salaam juzi, katika hafla ya kukabidhi vya kula kwa watoto yatima wa Kituo cha Maunga Centre.
Mwenyekiti wa Serekali ya Mtaa wa Kawawa Kata ya Hananasifu Kinondoni Elizabeth Masao, akikabidhi baadhi ya vitu kwa mtoto anaelelewa na kituo cha yatima cha Maunga Centre Thabiti Amili, vilivyotolewa na kikunda cha Hananasifu Jogging Club Kinondoni.

 Baadhi ya wana kikundi cha Hananasifu Jogging Club Kinondoni, wakimkabidhi vitu.

Picha ya pamoja.

Posted by MROKI On Monday, January 22, 2018 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo