Nafasi Ya Matangazo

May 18, 2017

Wanafunzi wa Chuo cha Uhazili Tabora leo wamefanya ziara ya kimafunzo Bungeni Mjini Dodoma kwa lengo la kujifunza namna Shughuli za Bunge zinavyofanyika ikiwa ni pamoja na kupata historia ya Bunge hilo tangu lianze hadi sasa.

Daily News-Habarileo Blog inakuhabarisha kwa kutumia picha juu ya ziara hiyo ya wanafunzi hao wanaosomea kozi mbalimbai chuoni hapo walipotembelea Bungeni mjini Dodoma.
 Wanafunzi wakifuatilia kipindi cha maswali na majibu Bungeni ambapo pia walishuhudia mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji. BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI.
  Wanafunzi wakifuatilia kipindi cha maswali na majibu Bungeni ambapo pia walishuhudia mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji.
 Wanafunzi wakifuatilia kipindi cha maswali na majibu Bungeni ambapo pia walishuhudia mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji.
Wanafunzi hao wakiwa nje kabla ya kuingia ndani ya jengo la Bunge
Posted by MROKI On Thursday, May 18, 2017 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo