Nafasi Ya Matangazo

April 25, 2017

Mahabusu wanaotuhumiwa na ugaidi jijini Arusha leo baadhi yao  wamegomea kushuka katika gari la magerezakwa madai kuwa hawatendewi haki kwa kesi zao kutosikilizwa hali inayowalazimu kukaa mahabusu kwa muda mrefu bila kujua hatima yao
Watuhumiwa wa ugaidi baadhi yao wakiingia katika gari la magereza baada ya 32 kutii amri ya mahakama
Watuhumiwa wa ugaidi wakiwa katika viwanja vya mahakama leo jijini Arusha

Posted by MROKI On Tuesday, April 25, 2017 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo